Qur'ani na kutafakari
TEHRAN (IQNA)- Wito wa kutafakri ni miongoni mwa mawaidha mazito katika dini ya Kiislamu na ni ya thamani na muhimu sana kiasi kwamba Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Saa ya kufikiri ina thamani zaidi kuliko miaka 60 ya ibada bila kufikiri”.
Habari ID: 3475309 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30